![Atatamani ft. Rene Marie](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/02/7E/rBEehlp5RKGAUlJCAADA9kfgUGg273.jpg)
Atatamani ft. Rene Marie Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Atatamani ft. Rene Marie - Nandy & Aslay
...
ooooh uoooh hooooh mmmmmmhh (the rintos on the beat) mi napenda niskiapo sauti yako ooh inapoimba maskioni mwanguuuu nahisi kupata rahaa ninahisi nikiwa nawe nitakuwa juu aloniacha mwanzo oooh simfati Tenaaaa mi naomba unipe kumbatio lako ooh baridi ilokuepo mwanzo ooh isiwepo Tenaaah mi nahisi ukiwa nami nitakua juu aloniacha mwanzo simfati tenaa atatamani niwe wake akiniona nipo nawe akithubutu anifate ukimuona rusha mawe atatamani niwe wake ieeh eeeh akiniona nipo nawe akithubutu anifate ieeh ieh eeeh ukimuona Rusha mawe ........................... aliposema Mimi wa kazi gani hii wewe uliwaza utanipata liniii nilitambua hakujua thamani yangu uuh wewe unayefahamu naomba unipende aliposema Mimi wa kazi gani hii hiiih wewe uliwaza utanipata liniii nilitambua hakujua thamani yangu uuh wewe unayefahamu naomba unipendeee atatamani niwe wake akiniona nipo nawe akithubutu anifaate ukimuona rusha mawe atatamani niwe wake akiniona nipo nawe akithubutu anifaate ukimuona rusha mawe