![Uvumilivu (Cover) Velvet](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/02/7E/rBEehlp5RKGAUlJCAADA9kfgUGg273.jpg)
Uvumilivu (Cover) Velvet Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Uvumilivu (Cover) Velvet - Nandy & Aslay
...
Mara ya kwanza mi nakuona sikufahamu, sikuhisi ungeingia moyoni, baada ya muda nikazichoka burudani,mpaka home nikajitupa kitandani
uvumilivu umenishinda baby i love you,sikukwambia niliamini ulijuaa,sasa hug zisipati mpaka night uuuuuuh
chorus
"Uvumilivu umenishinda baby i love you baby i love you sogea karibu yangu nipe love nipe love nipe loveee"*2
verse 2
Akili ya kusema Kwamba baby i love you ninachohitaji pendo lako la dhati,ukikubali baby mimi nitapata raha ooh ma baby boy usishangae kukwambia hisia nilizonazo labda ukaniona kicheche, fikira izo baby naomba achana nazoo oooh ma baby boy
chorus
uvumilivu umenishinda baby i love you,baby i love you baby i love you sogea karibu yangu unipe raha unipe raha nipe rash.. *2
verse 3
hakika wewe ni wa pekee mawazo yako hayakwenda upande, hakika wewe ni wa pekee kuna wengine wangeniona kicheche ila wajua yakuwa nakupendaaa aaah ila wajua yakuwa wanitesaa aa uuuuh
chorus
uvumilivu umenishinda baby i love you baby i love you baby i love you sogea karibu yangu unipe raha nipe raha nipe raha*2