![Nikumbushe](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/02/7E/rBEehlp5RKGAUlJCAADA9kfgUGg273.jpg)
Nikumbushe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Nikumbushe - Nandy & Aslay
...
nirahisi kwenye kujawa na lawama tele Yale mambo yanapoonekana hayaendi ni ajabu sanah namna moyo unahangaika ( tafta majibu) ajabu sanah moyo unapoonyesha mashaka
yapokuwa( japo mungu anayeishi ndani yanguuu kuna muda na hofu,japokuwa mungu anaketi kati yetu uu kina muda na hofu
kumbuka wana wa israelikatika bahari ya shamu japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi, kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu bwaaana lakini baada ya kuvuka na kuliona jangwa yalibadilika mambo,ndipo ooh yalisimamaaa na kusahau miujiza alotenda bwana mwanzo oooohhhh aaah eeeeh mungu nisaidieehh uuoooohhhh
(chorus) nikumbushe wema wako nisije laumu niku mbushee ukuuwako wakati wamagumu nikumbushe shauri zako ili nikusifu (niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi )*2
nisaidie kukumbuka baba ya kwamba umen ichoraa vinyanjani mwakooooh kati ya wengi waliopo dunianieeeh na mm umeniona,,,eeeeh nikumbushe baba yakwamba niwewe uliniponya nilipo umbwaa yakwamba ni wewe mlipaji wa bili zetu nyumbani ooooh ya kwamba kama ungeniacha hatua mojaaa nisingelifika nilipo eeeeh baaaba (umenikugunja mavumbi )*2mimi na kunihesimisha...