![Njia Panda](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/02/7E/rBEehlp5RKGAUlJCAADA9kfgUGg273.jpg)
Njia Panda Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Njia Panda - Nandy & Aslay
...
BARNABA BOY
NJIA PANDA(COVER)
mh si unaniita nikiwa uwai kwangu sinyorita ili usiniache nikalilia.
ndio ndio nilikuita siku hiyo mradi wewe ukufika vipi unidanganyeee nikaumiaumia.
mbona mbona nilifika nikakuta eti. nikahuzunikaaah kwa nini unidanganye niliumiaumia
mbona nami nilifika nikakuta tupu nikahuzunika vipi unidanganyeee nikaumiaumia
uwongooo wewe ulifika kwa wenye fedha wakakuwezeshaa mi ukanidharau,ukanisahau,ukaniachaaaah
hapana bwana mi nilifikaa labda tulipishana wewe ukaenda kulia nami kushoto ndo tulivokosanaaa
(chorus).
aah mariannah umeniacha njiani tena njia panda mpaka giza dada kilitanda
noooh my baeby boy sikukwacha njiani wewe ndo uliniacha mpaka sasa mi natapatapa aaaah
(verse).
unaniudhi unavyo bisha wakati wewe ndo mwenye makosaaaah kwa nini unidanganye niliumiaumia
tufanye wewe ndo umeshinda naomba wacha zako hizo tilalilaaa naomba panga upyaa siku na masaa
usiseme tu yameisha kwanza kubali kuwa umekosaaa na sio nipange miiimii upange we
mwenyewee
haya basi yameisha nitapanga upya saa na dakikaa ili usiniaacheeeeh nikalialiaa
uwongo we hutofika siku iyo ikifika nahisi ahadi utavunja moyo utaniuma nitazidi liaaa
hapana mi nitafika siku Kiowa dials ah wala sitochelewa sitokawia hautolialia aaaah
(chorus)
aaah mariannah umeniacha njianii tena njia panda mpaka giza dada kilitanda
noooh my baeby boy sikukuacha njianii wewe ndo uliniacha mpaka sasa m natapatapaah
ooh usije umiza mtima siku ikifika usije Fanya tena visa vyako mama
nooooh sitoumiza mtima Siku hiyo ikifika hautoumia sitoumiaaa hautoliaaah
ooh usije umiza mtima siku ikifika nitoumia sitoumia sitoliaaa aah
(chorus)
ooh mariannah usije niacha njiani tena njia panda mpaka giza dada kilitanda
noooh my baeby boy sikukuacha njiani wewe ndo uliniacha mpaka sasa mi natapatapa aaaah......