![Subalkheri Mpenzi ft. Aslay](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/01/1C/rBEehlpngqiASywPAACF6QNT0PE137.jpg)
Subalkheri Mpenzi ft. Aslay Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Subalkheri Mpenzi ft. Aslay - Nandy & Aslay
...
Emma the boy on the beat
aaaaaahh,aaahhh(Aslay)
aaaaaahh, aaahhh(Nandy)
Chorus,
Subalkheri mpenzi waonaje hali yako?(Asalay)
Sabahalalnur a'aziz hali yangu kama yako (Nandy)
ASLAY: wawaonaje wazazi nyumbani utokeapo?
NANDY: kawanusuru mwenyezi hofu yao juu yako,
[Bridge]↓
↓
NANDY: Ebu nitoe majonzi iii, unijuze shida yako
ASLAY: Shida yangu sijiwezi iii, dawa yangu sura yako
NANDY: Ebu nitoe majonzi ii, (unitoe majonzi uniguse) unijuze shida yako
ASLAY: Shida yangu sijiwezi(Sijiwezi,sijiwezi) dawa yangu sura yako
{pre-chorus}
Mwenginewe hachomozi nakupenda pekeyako ×2 (ASLAY)
Daima nitakuenzi silitupi pendo lako ×2 {NANDY}
[Verse 1 Aslay]↓
↓
Ukiwaga mbali baby mwenzako presha inazidi speed, Usiniache baby utanipa pigo la kikaidi
Basi mororo ooo, najua uko na Mimi mpenzi we weweeee, usijenifaya kiporo najua kuniachaga huwezi yeah yeah ee
[Verse 2 Nandy]↓
↓
Ukiwa mbali baby mwenzako presha inazidi speed, Usiniache baby utanipa pigo la kikaidi
Ooooh Basi mororo oo, najua uko na Mimi mpenzi wee weweeee
usinifanye kiporo ooo, eee
"repeat; [Bridge]"
Mwenginewe hachomozi nakupenda pekeyako×2 (ASLAY)
daima nitakuenzi silitupi pendo lako×2 (NANDY)
Written by, SchinderllaMe