![Bembeleza](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/02/7E/rBEehlp5RKGAUlJCAADA9kfgUGg273.jpg)
Bembeleza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Bembeleza - Nandy & Aslay
...
hey hey hello maah,laiti ungekua unaniona namna kila time nakonda nawaza vipi kukupata tawezaa.Jinsi gani kukueleza au mi sijui kubembeleza usinikatae utaniumiza nakupenda kukutenda sitoweza.
kila time nakuangalia usoni maah sio kama nakosa neno kusema ulivyo maah wafanya nikose kunena ingawa moyo hutaki nena tena
wazo kichwani inabii kukueleza ila vibaya ukicheat namii sijui bembeleza ukikataa me utaniumizaaa..