![Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/20/fcfdce93ab2a42768d92e029ade78c91_464_464.jpg)
Wewe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Wewe - Kontawa
...
Ni kweli pesa sina nacheza michezo ya bahati nasibu
Na mi nakomaa nishike vipesa kama kina nasibu
Madubwi ya wachina yanamaliza vichenj kila nikijaribu
Hvi leo ntakula kweli namuuliza mwanangu ibrahim hajibu
Kuna wanangu wavuvi baharini wanavua fishh
Ila wakipata pesa kidogo mtaani wanavua pii
Alafu kuna huyo fundi ujenzi babu magege
Yeye kutwa anabeba zege
Ila ukimwambia njoo kuna mabebe
Anakuja na fuko la chips zege
Ni kweli walichonacho hatuna na bado tuko gheto tuna asoo
Midomo tumepewa kutafuna kwann tuishie kula kwa macho
Mwendo wakukesha nao kama po popo
Tukijichanganya na wato toto
Tunasahau shida na changamoto
Ni mwendo wa mitungi na misokoto
Wewe we aah wewe
We aah wewe
We aah wewe
Yani party after party
We aah wewe
Yan party after party
Mwanangu fundi gereji anatembea na spana
Badala akaze nati akiona mademu anawaza kukazana
Wanangu machinga na boda boda
Wachina madini na wabeba boda
Wazee wakuzamia wakuvuka boda
Kwenye kutumia hatunaga uoga
Ukitupa ushauri nasaha tunachukua saa
Kutafuta shida kutumia raha
Ata hasopenda amani anapenda pis baba
Yani nyumba ina paa ndege ina paa
Ni kweli walichonacho hatuna na bado tuko gheto tuna asoo
Midomo tumepewa kutafuna kwann tuishie kula kwa macho
Mwendo wakukesha nao kama po popo
Tukijichanganya na wato toto
Tunasahau shida na changamoto
Ni mwendo wa mitungi na misokoto
Wewe we aah wewe
We aah wewe
We aah wewe
Yani party after party
We aah wewe
Yan party after party