
Tuna Kikao ft. Diamond Platnumz Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
TUNA KIKAO BY LAVA LAVA LYRICS
#INTRO �
Sisi ni walevi tunakesha bar
Tunatumia hela hatujaja kushangaa�
Weee Zombii Haujui?
Mimi simba na masimba dangotee
Eeeeh lovebite ninja kong fuu master
Aaaaaaah!! Master
#CHORUS�
Sisi ni walevi tunakesha bar�
Tunatumia hela mpaka jua lianze ng�aa
Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa
Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa�
Wenyewe tuna kikao�
Tuna kikao tuna kikaoo tuna kikao�
Eeeh! tupishe bwana (Wenyewe tuna kikao)
Tuondolee kelele (Tuna kikao)
Tupishe bwana (Tuna kikao)
Eeeh! tuna kikao (Tuna kikao)�
#VERSE�
Wazee wa� nyumba tutajenga mwakani (Ndo zetu)
Kwanza heshima mezani (Ndo zetu)
Kikubwa gheto na bebe iwe ndani (Ndo zetu)�
Na mama ale nyumbani
Tukizikosa kitonga (Ganda la ndizi)
Tukizipata ndo maboss (Matumizi)
Tukiwa bwii kuhonga (Ving�ang�anizi)
Tunatakaga Ile kitu (Ya uzinzi)
#CHORUS�
Jamani sisi ni walevi tunakesha bar�
Tunatumia hela mpaka jua lianze ng�aa
Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa
Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa�
Wenyewe tuna kikao�
Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao�
Eeeh! tupishe bwana (Wenyewe tuna kikao)
Tuondolee kelele (Tuna kikao)
Tupishe bwana (Tuna kikao)
Eeeh! tuna kikao (Tuna kikao)�
#VERSE�
Eeeh! Eeeh!�
Mishoti tu zayogo ndo chini nyan�ganyang�a
Na ukinchekea kidogo aah umetafunwa bwana�
Kushoto na zombi kulia tosi�
Ni mwendo wamonde na misosi�
Ikikushinda chonde usijifosi�
Sie mpaka ligonge la utosi�
Eti nilale nimlalie nani
Wakati pesa nimeishika ukubwani�
Nilaaale kwa usingizi gani
Wakati umaarufu nimeupatia ukubwani
Na wakiutaka motooo moto nawatembezea kifuu
Oosh! Kamata mutoto ghetto kifo cha mende miguu juu
Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba
Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga�
Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba
Asa tingisha tingisha eeh fanya ka unamwaga mwaga�
#CHORUS�
Sisi ni walevi tunakesha bar�
Tunatumia hela mpaka jua lianze ng�aa
Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa
Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa�
Wenyewe tuna kikao�
Tuna kikao tuna kikao tuna kikao�
Eeeh! tupishe bwana (Wenyewe tuna kikao)
Tuondolee kelele (Tuna kikao)
Tupishe bwana (Tuna kikao)
Eeeh! tuna kikao
#INTRO�
Kama nikinywa mi nakukera shauri zako (Shauri zako)�
Kwani mifigo si ya kwangu mimi au ya kwako (Au ya kwako)
Eenh! kwani natumia ya kwangu hela au ya kwako (Au ya kwako)
Mtoto wa kiume punguza shobo utashikwa taaa! (Aaaahh!)
Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba�
Asa tingisha tingisha fanya ka una mwagamwaga�
Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba�
Asa tingisha tingisha eeh fanya ka una mwagamwaga
Jamani sisi ni waa�.