![Bado Sana ft. Diamond Platnumz](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/7b91fb80f8b840cea6d40ae7cae23913.jpg)
Bado Sana ft. Diamond Platnumz Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Bado Sana - Lava Lava
...
bado, bado sana
bado, bado sana
bado, bado sana
bado, bado sana
ngoja kwanza nidangedange mambo ya kuwa na mpenzi(bado sana)
nimezoea kwa mpalangeeti unipeleke mbezi (bado sana)
kutega unatega ila kupata masponsor (bado sana)
tatizo nijeshega ila ndani kujiosha (bado sana)