
Basi Tu ft. Mbosso Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Basi Tu - Lava Lava
...
skuizi hanipigi hata akikuta missed call zangu simu hashiki na akishika anauliza nani mwenzangu mara amekata mara simu hewani haongei namaliza foja anajizima data eti amepanda bei kunifanya dondocha eeeeeeeeeh najitumisha message mara mbili anafungua anasoma majibu hayarudi ila kwa Whatsapp page zaonyesha tick mbili kujifanya hajaona ilimradi kusudi na kuniringia