Gundu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Gundu - Lava Lava
...
....
Waasafi
..... .
Mmmmh mmh eeeh naona maajabu kinanizonga kizaazaa kila mahesabu ninayopiga yanakataa nahisi mababu mizimu yao imechachamaa au sina sawabu Mola nioneshe nyota yajaa eeeh kulia nimelia nikamaliza lesso nimekosa kipenda roho mi nikasubiria uwenda akaja kesho nilipododosa kote ngoma droooo chorus
Mwenye mapenz atokee aniteteee joto pepeee anipepeee niwe mtoto tetee ooh tetee anidekeedekee eeeeh miniepuke gundu oooh gundu penzi limenichachia gundu nuksi imenishukia gundu oooh gundu penziii chachia gundu oooh nuksi imenishukia gundu
.....
Verse 2
Ama sina bahaaati jini gani kanivaa asio na jema kwangu ninae mtaka simpati vioja tuuu na karahaa yaani vanguvangu mie naisi nalala na hudi najisonyasonya penzi sasa bila hudi ni maronyaronya nishapangwa kwa magundi nikabonywabonywa licha ya wangu ufundi nikapokonywa mi nataka mwenye mapenz atokee anitete joto pepeee anipepeee niwemtoto tetee oooh tetee anidekeedekee dekee eeeeh mi niepuke
Chorus
Gundu (oooh gundu penzi linanichachia gundu nuksi imenishukia gundu oooh *2)
............
Ayo laiiiiiiizer
@it writing by Rashid A. K. A Mshote3