
Go Gaga Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Go Gaga - Lava Lava
...
abbah..!!
Anaa jicho la kukonyeza na mikogo ka shakila
nyuma mkia pweza sshepu catapillar
mechi tunazo zicheza kitandani fundi killer ameniweza napumua kwa mipira
bridge....
tenaaa kiuno laini chuchu dodo dodo kitovuni kipini mtoto jojo jo
avae dera kimini nyuma lojolojo
katoto ndiz maini yani sotojo tojo
chorus....
aaaaeeeh go gaga aaaeee
fanya kama unataga aaeeeh
tusivunje chaga aaaeeeh
ongeza mazaga zaga *2
basi waoneshe waone
waoneshe waone *4
Mungu alikuumba kwa udongo we mtoto fire fire fire
utajanipa mazongo ukijali tayaa taya taya
nizidishie uhondo steam za kaya kaya kaya si chururu ndo ndo penzi likapwaya pwaya pwaya
unavonichangia manuva iiyeee
kiuno speed kama msuva iyeeee
kwako naponaa mmmhh
maajabu samaki nguva iyeee
mchezoni unavonifungafunga iyeee magoli ya konaaaaah mmmmhhh
repeat bridge en chorus.......