Loading...

Download
  • Genre:Afropop
  • Year of Release:2023

Lyrics

Hakuna jipya taarab - sabah salum

Mkombozi Records

Hakuna ubaya mpya yoote ni yale yale

Afanyalo jipya dunia ni ile ile

Hakuna ubaya mpya yoote ni yale yale

Afanyalo jipya dunia ni ile ile

Upepo ukivuma kasi utakwenda kasikaziiii

Neno ukigeuza tusi hauninyimi usingizi

Upepo ukivuma kasi utakwenda kasikaziiii

Ooohhhhhh

Neno ukigeuza tusi hauninyimi usingiziii

Ridhiki yangu sikosi na maneno hayaudhi

Sinichafueni basi tunajaziana nzii

Ooohhhhhh

Ridhiki yangu sikosi na maneno hayaudhi

Sinichafueni basi tukajaziana nzii

Mapenzi ni yaleyale waliyoanza mababu jipya alitotokeaa

Ubaya ni vile vile hayo mengine sababu waja mwanitafutiaa

Mapenzi ni yaleyale waliyoanza mababu jipya alitotokeaa

Ubaya ni vile vile hayo mengine sababu waja mwanitafutiaa

Nao wema ni ule ule malipo yake thawabu mola alishatuambiaa

Vyeema kuwa mpoole tusitiane ghadhabu siku kaniaribiaaa

Nao wema ni ule ule malipo yake thawabu mola alishatuambiaa

Vyeema kuwa mpoole tusitiane ghadhabu siku kaniaribiaaa

Usininyooshee kidolee hutonitia aibuuu ooh tuli nitakuangalia

Sina iridhi sina chale mlinzi wangu wahaabu oohhh yeye namtegemea

Sininyooshee kidolee hutonitia aibuuu tuli nitakuangalia

Sina iridhi sina chale mlinzi wangu wahaabu yeye namtegemea

Likotoka mashariki magharibi litatuaa

Kusanya na mashabiki waje mje muuze jua

Likotoka mashariki magharibi litatuaa

Kusanya na mashabiki waje mje muuze jua

Kama hilo uliwezii basi yoote yaleyalee

Hata mimi huniwezi mola kaniweka mbele

Kama hilo uliwezii basi yoote yaleyalee

Hata mimi huniwezi mola kaniweka mbele

Ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo

Maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo

Ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo

Maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo

Alo kula amekula kala nini haijuzu

Iwe biriani kala au dagaa kauzu

Tuombeane sitara tusitenguane udhu

Ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo

Maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo

Hakuna lililo jipya lipate kunishitua

Ambalo mtajitapa moyo mkanilipuaa

Hakuna ubaya mpya ulio chini ya juaa

Ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo

Maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo

Taarab/mshairi /lyrics

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          If you have any questions, please feedback on Boomplay App or send an email to [email protected].

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status