![Subira](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/08/5c2c85709e5c4fd6a4d3c17533d565a5_464_464.jpg)
Subira Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Subira - Sabah Salum
...
Acha tu nikupe kweli
Acha kujiona hali
Aso lile Ana hili,kukosa yote muhali, mungu kaumba wawili
Ameumba wenye utu
Amewaumba wanyama
Vyote ni hakim yake
vyote mitihani yake