![Mlango Wa Mungu Uwazi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/08/5c2c85709e5c4fd6a4d3c17533d565a5_464_464.jpg)
Mlango Wa Mungu Uwazi Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mlango Wa Mungu Uwazi - Sabah Salum
...
........
aaaah! aaah!
lalaalaa
Atoae ni kahari kwa matam na machungu kwa matamu na machungu
usijipe ujabari kuvaa joho la mungu kuvaa joho la mungu x2
haufai ujeuri ewe kiumbe mwenzangu
Tuendako ni shubiri mwanandani letu fungu
oooh! haufai ujeuri ewe kiumbe mwenzangu
Tuendako ni shubiri mwanandani letu fungu
joho la mwenyezimungu mja likufae wapi
oooh! joho la mwenyezimungu mja likufae
wapi
Jua mlango wa mungu u wazi kaufungua
kama ridhiki ni yangu huwezi kuiondoa
jua mlango wa mungu u wazi kaufungua
kama ridhiki ni yangu huwezi kuiondoa
ufanyeje mlimwengu usiekuwa na hayaa
utamaliza mizungu la mola hutapangua
ufanyeje mlimwengu usie kuwa na haya
utamaliza mizungu la mola hutapangua
Beat..........
umezidi nini wewe, ni bure chako ni bure
mlango wa mungu uko wazi, ridhiki napata mimi
nna husudiwa mimi, mungu amenistirii x2
Beat.........