![Niacheni Nijivune](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/27/69c1da7e9b4340a3ac9b9e459f4d1799_464_464.jpg)
Niacheni Nijivune Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Niacheni Nijivune - Sabah Salum
...
niacheni nijivuneeee, huu ni wakati waangu
achukiaee anuneee, hii ni bahati yaanguu x2
Sina shida ya mwengineee, simwachi mpenzi waangu
Tutuunze nyoyo zituee, mahasidi zikizaani
Twapndana Mimi naye, nyinyi inawaudhi Nini
...................
(Instrument)
..............
Nimemshika imaara, Kufurukuta hawezi
Nimemponza fikiraah, amelavu kwa mamapenz
Hapati la kumkeraa, Nampa mema malezi
................
(Instrument)
.................
(ooh, oooh)
Mnanichukia buree, kupendwa ni damu yangu
Mtavimba mujikera, Naringa nasaba yangu
Mtakufa kwa kihere, aliyenipa ni mungu.
(Instrument)
..............