![Debe Tupu Taarab](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/18/721de3a5cea44fc5bfb3cbd918e90d15_464_464.jpg)
Debe Tupu Taarab Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2015
Lyrics
Debe Tupu Taarab - Sabah Salum
...
oo ohh a aah
hiko kitu si bure hiko kit u*2
lia lia yako sema sema yako*2
hiko kitu si bure hiko kitu*2
unageregege lakukaba roho ukiniona nae una geregege lakukaba roho ukiniona nae
hiko kitu si bure hiko kitu*2
VERSE1
Panya ninakutazama unachelewesha nini? panya timiza unyama tia ulimi puaniii*2
Fanya tena Fanya himaa ujalishi hasirani kanichagua mi chuma kaniweka Mimi ndani*2
roho yako inauma ufahi huna thamani bora ujengewe boma si mtu we hayawanii*2
usizue mafirukhu shida we mita ya luku
utakufa na shauku*2
umefutwaaa umeachwaa umetupwaaa
maneno mengi ya nini*2
Kama mvuvi wa pweza tutakutana mwambani*2
debe tupu weweee
debe tupu wee acha zako kelele*2
kwa nguvu zake Rabuka sitingishiki mie*2
mlingoti chuma viaka vya chuma na bendela Chuma*2
VERSE2
umeitaka taraka sasa cha nini kiwewe
majungu unayopika umejitosa mwenyewe*2
sasa unababaika waendeshwa mbio wewe na maji wakaniweka wewe umekua MWewe*2
tena unafadhaika wataka unikosoe
hichi Mimi nimeshika wataka tule tugawe*2
usizue mafiluku shida we mita ya luku
utakufa na shauku*2
umefuttwaaa umeachwaa umetupwaaa
maneno mengi ya nini
maneno mengi ya nini*2
Kama mvuvi wa pweza tutakutana mwambani *2
debe tupu wewe
debe tuuupu wewe acha zako kelele*2
kwa nguvu Zake rabukha sitingishiki Mie*2
mlingoti chuma viaka vya chuma na bendera China*2
VERSES 3
kaa chini nikupashe wewe baki hukohuko*2
Ulivyo wewe utoshe shepu Kama komba mwiko
Ebu usijichokeshe mimi kwangu ngoma iko tena usijirefushe pipi tamu mate yako*2
wala usinichekeshe usiseme yuko kwako
Roho isikufedheheshe kanipa habari zako*2
usizue mafiluku shida we mita ya luku utakufa na shauku
umefutwaa umeachwaa umetupwaa
maneno mengi ya nini
maneno mengi ya mini*2
Kama mvuvi wa pweza tutakutana mwambani*2
debe tupuu we we
debe tupuu wewee acha zako keleke*2
kwa nguvu zake rabukha sitingishiki mie*2
mlingoti chuma viaka vya chuma na bendera chuma*2
VERSE 4
Alikuachia mji nyumba na fanicha yake
ukaleta mfujaji akavaa nguo zake*2
sasa kwanini ungoji waleta mshikemshike umemaliza mtaji ridhiki ukapiga take*2
sasa kahukumu jaji piga kelele uchoke
Niko nae mshikaji ukitaka usitake
usizue mafiluku shida we mita ya luku utakufa na shauku*2
umefutwaa umeachwaaa umetupwaa
maneno mengi ya nini
maneno mengi ya nini*2
Kama wewe mvuvi wa pweza tutakutana mwambani*2
debe tupu wewe
debe tupu wewe acha zako kelele*2
kwa nguvu zake rabuka sitingishiki mie
mlingoti chuma viaka vya chuma na bendera chuma*2
mpeleke mpelampela
mpeleke mpelampela*4
degedege imempata shoga
mpeleke mpelampela*2
By mimi