![Mimi Si Mgomvi Wako](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/27/2b2f1368f16d48559eceaf192c232e8f.jpg)
Mimi Si Mgomvi Wako Lyrics
- Genre:Folk
- Year of Release:2020
Lyrics
Mimi Si Mgomvi Wako - Sabah Salum
...
...,.,,,....,,,,..,.......
.........................
..........................
.........................
........................
.....................
...............
zako chuki zielekeze kwengine
simtaki kamtafute mwengine×2
mimi si mtaki ×2
hebu chunguza wengine
hao hao ulo nao ndio mahasimu zako
hao hao ulonao ndio mahasimu zako
utilize wako moyo mimi si mgomvi wako
utulize wako moyo mimi si mgomvi wako
hao ulo washitua mie sie asilani
mimi sie asilani
moyo wangu umetua nawala simtamani ×3
macho yakimchagua bora nikae sioni×2
hao hao ulonao ndio mahasimu zako ×2
utilize wako moyo mimi si mgomvi wako×2