
Te Amor Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Te Amor - Kusah
...
Ipigwe piano nikuimbie te amor
Najua wachawi wamo ila watajiju
Havitutishi vinyago vipite vikae kando
Najua wachawi wamo
Haya mape.... mapenzi
Bwagalanyo sijiwezi
Kwakwe mjinga mi mshenzi
Yataniuwa haya mapenzi
Anaesema asali tamu anakosea sana
Jama mapenzi matamu labda hawajapatana
Anaesema harua tamu anakosea sana
Jama mapenzi matamu labda hawajapatana
Oooh baby baby
Nikuimbie te amor te amor te amor
Oooh i lovee
Te amor te amor te amor
Uh one and only
Nikuimbie te amor te amor te amor
Mmhh
Te amor te amor te amor
Penzi letu historia walisema hajatimia
Si walisema nitalia baby wee
Acha nikae karibu na karibu na karibu na baby
Nikienda kule atanichuna atanikuna
Anaesema asali tamu anakosea sana
Jama mapenzi matamu labda hawajapatana
Anaesema harua tamu anakosea sana
Jama mapenzi matamu labda hawajapatana
Oooh baby baby
Nikuimbie te amor te amor te amor
Oooh i lovee
Te amor te amor te amor
Uh one and only
Nikuimbie te amor te amor te amor
Mmhh
Te amor te amor te amor
Ooh i love
Added by @togolamama9