Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2024

Lyrics

Rafiki - Kusah

...

Ni mpenzi wangu

Ndo msiri wangu

Ndo rafiki yangu

Wa shida na raha

G Brown Eh

(It's G Brown beat)

Wenyewe tunapendana

Oh, babe anacare

Nilipo anasogea

'Si tuko kama pair

Anajua anishike wapi

Nikiwa na hasira

Anajua nishike wapi

Tukicheza mpira

Anajua anishike wapi

Nikiwa na hasira

Anajua nishuke wapi

Tukicheza mpira

Haya sheri koko

Ulipo nipopopo

Tukeshe mapopo

Hayaa yaayayah

Haya sheri koko

Ulipo nipopopo

Tukeshe mapopo

Hyaa yaayayah

Wenyewe tunapendana

Oh, babe anacare

Nilipo anasogea

Si tuko kama pair

Ni mpenzi wangu

Ndo msiri wangu

Ndo rafiki yangu

Wa shida na raha

Mimi babe wangu ndo msiri wangu

Ndo rafiki yangu wa shida na raha

Namuwekea security

Huyu mtoto

Yuko quality

Baby I promise kukuacha nimeweka mwiko

Baby I promise uje ndani upendezeshe jiko

Na wala na wala na wala no

Na wala no omukwano marumbano

Na wala noo

Wenyewe tunapendana oooh

Babe anacare

Nilipo anasogea si tuko kama pair

Ni mpenzi wangu ndo msiri wangu

Ndo rafiki yangu wa shida na raha

Ntamuwekea security huyu mtoto

Yuko quality

Ntamuwekea security huyu mtoto

Yuko quality

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status