Nimepatikana Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Nimepatikana - Kusah
...
kusah tenaaaa
ee eeeh
jamani Huba limenikoroga akili Huba
ata nikifumba nikifumbua naona huba
umejua kunifunza mapenzi
sifa zote zako darling ooh
kwako sisemi sihemi
sikimbii nafsi na mbio
yanamwagika mapenzi
ooooh
huku mwenzenu sijiwezi
ooooh
mchana kweupe nyota mweziiii
oooh
me mwenzenu sijiwezii
oooh
sing
nimepatikana sijiwezi,
nimepatikanaaa sijiwezi,
ehe
nimepatikanaa sijiwez,
mhhhh
nimepatikanaa sijiwezi,
kompa,........
mhhhhh wew
yani nkikuona sioni kitu nayaona makopakopa, kwani!
umenipa nini umenipandisha na nyotaa
eeeeh
uliposhika kwenye shingo chini ni moyoooo oooh bby utaniuaaa
utaidhulumu na nafsi uchoyo me mwen zako utaniua
yanamwagika mapenzi...........