Amen ft. Femi One Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Amen ft. Femi One - Kusah
...
Kusah Ft Femi One.
song:Amen.
Kusah tenaaa.....!!!
Amen(Amina)
Nashukuru Kwa lunch baba na dinner,
Nasema Amen (Amina),
Nashukuru Kwa yote mungu (Amina AAH) .
Uliponitoa ni taabu,
Uliponitoa ni taabu sanaaa,
Umenipa furaha ya kuishi,
Nilipitia gadhabu,
Ilikuwa ni adhabu baba,
Nilikuwa naisha uku naishi,
OH Naah
Ah na Kuna mda mimi nilijikatia tamaa(tamaaa)
Na kuna mda nilisema hii ni kitu gani ooh,
Na tena bora nahema,
Sina cha kulalamika,
Mungu unanifaa.
Amen(Amina)
Nashukuru Kwa lunch baba na dinner,
Nasema Amen (Amina),
Nashukuru Kwa yote mungu (Amina AAH)X 2.
Instrumental................!!!
Manze ni God,
Huskii mapka mahali nimefika,
Namwona kila kitu ninashika,
Amenipa ata cha Gold,
Nto maana wengi ukuja na mafeature,
Nabariki Madona zinasikika,
Uno jina kubwa niko booked and busy,
Juice kwa wingi vile na make it look easy,
Ukiwa na favor from above all it took in tizi,
Ety Shiko Kako na shows hadi ,
Brooklyn siku hizi,
Ni gruap ka nimesonga my cup,
Run it over shukran,
Kwa Jehovah nang'aah,
Ye nto solver wa gwan,
Noma noma never pressed uskii,
Me ukicheki Niki flex Niki blessed uskii.
Na tena bora nahema,
Sina cha kulalamika,
Mungu unanifaa.
Amen(Amina)
Nashukuru Kwa lunch baba na dinner,
Nasema Amen (Amina),
Nashukuru Kwa yote mungu (Amina AAH) X 2.
Written by :AGAMK.