Sitolia ft. Willy Paul Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2012
Lyrics
Sitolia ft. Willy Paul - Gloria Muliro
...
Aaaaah eeeh
Fahamu anakupenda sana aaah aah aah
Na hi salvation yako haitadunda aaah aah aah
Miye msela sina hela
Alikupenda bila hela
Miye msela sinanga hela
Alikupenda bila hela
Amekuwa akinihanda amekuwa akinitesa mimi iii aaah
Sababu mi mlofa na sina hela
Miye fukara just imagine
Bado nafsi yangu ni kwako wewe
Kuokoka kwangu ni kwako wewe
Ni kwako ni kwako ooh
Ni kwako ni kwako wewe
Ni kwako ni kwako ooooh
Ni kwako ni kwako wewe
Mimi sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali
Yeiye sitolia mimi kwa sababu uko na mimi Maulana
Ni ukweli usilie mwenzio
Maulana yuko na wewe akujali
Kiganjani mwake amekuweka eeaah hutobanduka
Ni kweli uko mbali na mimi
Uko mbali na uda wangu
Lakini msela mimi huyu
Sitolia kamwe yeeeeyeeh
Mwana we mwana nakuambia tulia
Mwana we mwana si vyema kulia
Mola anakuangalia anakufikiria
Atakuangazia eiiyeeeyeye
Mateso ni ya muda tu
Mtihani utaupita tu
Ata usiku uwe mrefu ndugu, uuuuh kutapambazuka
Mimi sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali
Yeiye sitolia mimi kwa sababu uko na mimi Maulana
Ni ukweli usilie mwenzio
Maulana yuko na wewe akujali
Kiganjani mwake amekueka eeaah
Hutobanduka
Ni heri nimtazamie
Mtazamie Mola
Ni heri nimkibilie
Mkimbilie Mola
Ni heri nimtumainie
Mtumainie Mola
Mimi sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali
Yeiye sitolia mimi kwa sababu uko na mimi Maulana
Ni ukweli usilie mwenzio
Maulana yuko na wewe akujali
Kiganjani mwake amekueka eeaah
Hutobanduka
Mimi sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali
Yeiye sitolia mimi kwa sababu uko na mimi Maulana
Ni ukweli usilie mwenzio (sitolia)
Maulana yuko na wewe akujali (anijali)
Kiganjani mwake amekueka eeaah
Hutobanduka