![Mapito](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/41/37/rBEeMVlwldWAROmYAAC0EtyIo3M623.jpg)
Mapito Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Mapito - Gloria Muliro
...
Mimi nashangaa kumbe wakati wa mapito mambo yote hubadilika...
Mimi nashangaa kumbe wakati wa mapito hata rafiki anakutoroka..
Mimi nashangaa kumbe wakati wa mapito hakuna wa kukutia moyo..
Kweli nashangaa kumbe wakati wa mapito mambo yote hubadilika...
Hizi miaka zote mpenzi tumekuwa tu vizuri lakini kuanza jana unabadilika..
Hutaki kuniona,kunikaribia hutaki mpenzi..
Kosa unasema kwamba sinaga pesa
Hizi miaka zote mpenzi leo ndio umefunguka macho,umeona kwamba mimi maskini sinanga pesa..
Afadhali uniwache jinsi ulivyonipata..najua ni mapito tu Bwana ananishughulikia,,
Nasema siwezi kumwacha Mungu wangu juu yako mpenzi..
Mungu wangu ananishughulikia tu eh eh..
Uchungu wa mwana, ni mzazi aujuaye,mapito yangu baba wa mbingu anaona
Uchungu wa mwana,ni mzazi aujuaye,mapito yangu baba wa mbingu anaona
Jamani wakati wa mapito..mapito oh,
Usingojee kupigiwa makofi bali kupigwa makofi eh..
Jamani wakati wa mapito,
Usitarajie kutiwa moyo bali kuvunjwa moyo
Wakati wa mapito,mapito oh,
Usitarajie marafiki bali manafiki kibao oh
Utakapopata kesho wengine wao watakurudia..
Watasema wanakujua, watasema walisimama na wewe...ah usiwatenge
Mungu,Mungu ndiye analipa yee....(uchungu wa mwana)
Uchungu wa mwana ni mzazi aujuaye,mapito yangu baba wa mbingu anaona
Uchungu wa mwana ni mzazi aujuaye,mapito yangu baba wa mbingu anaona
Atatenda tu,tenda tu...yeye