![Matokeo](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/41/37/rBEeMVlwldWAROmYAAC0EtyIo3M623.jpg)
Matokeo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Matokeo - Gloria Muliro
...
sasa ngoja matokeo
....
Mimi nimefanya mitihani mingi Sana
nimepitia madarasa mengi sana
kwa Kila darasa Yahweh umekuwa
mwalimu wangu (umenifunza kuomba)
umenifunza subira ,umenifunza kungoja kwako baba
nimekuwa mwanafunzi mwema kwako baba
sasa nangoja matokeo,kutoka kwako jalali *