Msaidizi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Msaidizi - Gloria Muliro
...
Tuma baaba...tuma msaidizi,×2
Tuma yeesu...tuma msaidizi
Yesu uliahidi Wanafunzi wako
Kwamba hautawaacha
Kama yatima
Bali utawatumia...msaidizi
Awafunze,awape nguvu
Awafariji mioyo..
Nami naja mbele zako
Baba niko mbele zako ooh..
Naomba unitumie eh...msaidizi
Anifunze..anipe nguvu...aniongozee kwa kazi yako...baba tumaa.. msaidizi
Bridge:Tuma msaidizi
Naomba baba