
Sister Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Sister - Dizasta Vina
...
mawazo yamezidi kwenye ndonga
nawaza sana na sasa imebidi tu kubonga
mwanafasihi kwenye fasihi na hoja
kuhusu sister angu mother mmoja dingi mmoja
kwa wazazi tulizaliwa wawili
dingi alikufa mother alitulea kwa maadili
nyuma ya mimi na sister Kuna siri
siri ambayo hata moyo umeshindwa kuikabiri
tangu watoto mpka sasa tumekua
mambo mengi ya huu ulimwengu tumejua
sister hakuna mwanaume aliyemtambua zaidi yangu
na akisha Nikosa anaugua
sister Akitaka chochote angepata
sister nikienda popote angefata
sister kwenye Maradhi na kwenye afya
tulifuatana mithili ya vifaranga vya bata
mbele ya mama ye ni sister kamili
anaanza vituko pale mother akisha safiri
ety ananitaka kudate na sister batili
ananiambia mi ni simba naweza winda kwa siri
sister..... sister kadata......
aaah alianza kunivalia nguo fupi
gafla akaanza kutimba geto na chupi
hajui brother ye anakata mpka nuksi
ananiita mpenzi siku aliyoniita kaka sikumbuki
ye dear ama baby macho kalegeza
midomo ananibinulia kindezi
namuambia sister hizo njia mi siwezi
napata hisia ila sio hisia za mapenzi
he sister kadata sister ana moli
sister anataka nimuite shori
mother am sorry maana mi ndo chanzo kilicho fanya sister akatae kusoma boarding
hapo mwanzo m niliona tu ni utoto
alipodai ananiota kwenye ndoto
alishawahi kunipa pesa kama hongo
nimkubali Kisha twende mbali nikale mchongo
huu utamaduni tunaujua tangu zama
kuwa kutembea na ndugu yako kama laana
tukienda party tunaishia kugombana
sister hapendi kuona nacheza na Wasichana sister
sister kadaaata ......... sister anakata nimuite shori....
sister angekuwa dawa sihitaji dozi heee..
Maan anashori wangu of course
hakomi kuleta pozi za kichokozi anapenda kweli maan nishampiga sana makofi
juzi Kati nilileta Wana watanashati
labda moja wao watapendana
hakudata na freestyle hakudata na hela hakudata na ndinga wala swagaa za masela
mzee.. nikahisi labda pepo
hadi nikawishi labda dingi angekuwepo
Kuna siku alinibusu mbele ya mama
mama akajua sisi ni ndugu tunapendana
niwe mkweli sister mashalaah kaumbika
najua wengi wanapagawa akipita
ila kuwaza kuwa nipige au nibwage ni upumbumbavu
yaani sister mi ni kaka yake
ujumbe natuma analaamu sikuhizi simpendi
ipo siku atakunywa sumu
dizasta kwenye moja na mbili sister angu ananitaka
nadata nakupa hoja jadili
sister.... sister kadata .... sister ana moli.......