
Tribulation
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Tribulation - Dizasta Vina
...
Yeah
We ni we msosi mfano chips na maini
Ila mbishi kama nini
Huu ni mkosi vipi hutaki kuamini
Unawekwa kwenye list ya maiti Sheikh
Unakuja bila tarehe
Unagusa busha wazee
Unanyukwa utadhani mfungwa unasuswa
see lyrics >>Similar Songs
More from Dizasta Vina
Listen to Dizasta Vina Tribulation MP3 song. Tribulation song from album Tribulation is released in 2023. The duration of song is 00:11:27. The song is sung by Dizasta Vina.
Related Tags: Tribulation, Tribulation song, Tribulation MP3 song, Tribulation MP3, download Tribulation song, Tribulation song, Tribulation Tribulation song, Tribulation song by Dizasta Vina, Tribulation song download, download Tribulation MP3 song
Comments (142)
Top Comments (16)
Chris Aivan 1999
Swahilihtxnl
oyaaaaaa hatimae tumeua mende kwa Kombola>
Chris Aivan 1999
waliopo karibu na Rapcha mshikilieni tafadhalini sanna>
New Comments(142)
175328338
jichagulie kidole kimakeke
mzula cosmas
rapcha kakojoe ukalale mtoto mdogo
Gantu Mbishi
Achananae Mtoto mdogo
Wizzy Pqrqcetqmol
Softwqre or brqin
kimbry doneexysq1
Jamiiforum wanauliza "ukija bila gadi tunagawa wastani kwa idadi" eti hiyo lugha ya kijeshi!! Dizasta! watu wanaishi na vina vyako hawajui vimetika kwako. Rapcha bado mtoto sana, yeye ndo bado anapakatwa. pamoja na dada yake
James beatus yzazz
vina kwenye vina,hatari kimbunga katrina
Kashoma Doshi
kaka dizasta hapa Tanzania hakuna anaekufia wote marap
Iddy Billo
utauwa brother [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Ellysimo Thunglife
umetishaaa sanaaaa fany nyingn kmaa ii bro
Dalas Matimba
hakuna diss track ambayo imeifikia hii labda miaka 30 ijayo
Hashimzash
hii ndo dawa ya watoto wanaojifanya wamekua kumbe hata kupiga ny...to hawajui[0x1f602]
Boss mtto
Mkali♐️
waliopo karibu na Rapcha mshikilieni tafadhalini sanna>