Customer Care ft. Dj Gold & Foby
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Customer Care ft. Dj Gold & Foby - P Mawenge
...
Juzi tupo zetu dampo niko na wanangu wa bodaboda
Siku ilikuwa ngumu abiria mmoja-mmoja
Nikasema leo ghetto ni ugari na mboga-mboga
Maana mpaka sasa haionekani dalili ya vitoga
Basi nimetulia tu naminya-minya simu
Huku nawaza nani leo nimuharibie stimu
Hata sijui ni wapi mawazo yalipotokea
Eti nijaribu kumtongoza customer care
Basi nikapiga moja zero zero fasta
Na kila nikisikia sauti ya kidume nakata
see lyrics >>Similar Songs
More from P Mawenge
Listen to P Mawenge Customer Care ft. Dj Gold & Foby MP3 song. Customer Care ft. Dj Gold & Foby song from album Simu Na Matukio EP is released in 2022. The duration of song is 00:03:13. The song is sung by P Mawenge.
Related Tags: Customer Care ft. Dj Gold & Foby, Customer Care ft. Dj Gold & Foby song, Customer Care ft. Dj Gold & Foby MP3 song, Customer Care ft. Dj Gold & Foby MP3, download Customer Care ft. Dj Gold & Foby song, Customer Care ft. Dj Gold & Foby song, Simu Na Matukio EP Customer Care ft. Dj Gold & Foby song, Customer Care ft. Dj Gold & Foby song by P Mawenge, Customer Care ft. Dj Gold & Foby song download, download Customer Care ft. Dj Gold & Foby MP3 song
Comments (52)
New Comments(52)
Wema Self
Eugine Joseph
Goma noma hili.... mistari imeenda skuli
139878459
Noma xan
Jumanne Rajabuw5omz
nakubali
Deleted User
bonge la ngoma mkali ...Shikopaaaa sn... big up bro
152904034
p mawenge wew ni kiboko ya mabishoo, umeupiga mpk unamwagika bonge la song
127511217
aisee unyama mwingi kaka
Wamineso Mponda
[0x1f637][0x1f637][0x1f637][0x1f637][0x1f637] kaka wamefunga amidomo we ninom
oscarz5ict
baba nakubaliiiiiiiiiiiiiii
David Zakayofof05
Unyama sana
Elizabeth Junior
daah kuna watu wako poa sana ila hawapati tu airtime
Amori Salimu4u4zs
awo wanatongozeka tu
zote hua sikupingi maishaaa!!