- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mathias Walichupa - Nangoja
Siachi
Nitasubiri ahadi zako (Oooh)
Ninautambua, upendo wako,
Juu ya maisha yangu (Oouyee)
Ninazitambua, fadhili zako
Za mchana na usiku (Ouwo-uuu)
Hata kwa hili ninalolipitia
Imani yangu ni kwamba litakwisha
Nitalizunguka Rohoni sikusita
Kama Yeriko yasaba litaanguka
Sichoki kukungojea
see lyrics >>Similar Songs
More from Mathias Walichupa
Listen to Mathias Walichupa Nangoja MP3 song. Nangoja song from album Nangoja is released in 2024. The duration of song is 00:04:08. The song is sung by Mathias Walichupa.
Related Tags: Nangoja, Nangoja song, Nangoja MP3 song, Nangoja MP3, download Nangoja song, Nangoja song, Nangoja Nangoja song, Nangoja song by Mathias Walichupa, Nangoja song download, download Nangoja MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
wamboi2025
feeltgq6i
[0x1f623][0x1f623][0x1f623]
King lawre
great song ❤❤❤
A blessed song❤❤