Nangoja Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mathias Walichupa - Nangoja
Siachi
Nitasubiri ahadi zako (Oooh)
Ninautambua, upendo wako,
Juu ya maisha yangu (Oouyee)
Ninazitambua, fadhili zako
Za mchana na usiku (Ouwo-uuu)
Hata kwa hili ninalolipitia
Imani yangu ni kwamba litakwisha
Nitalizunguka Rohoni sikusita
Kama Yeriko yasaba litaanguka
Sichoki kukungojea
Najua mawazo mema waniwazia
Siachi kuvumilia
Nitasubiri ahadi zako kutimia
Imani yangu iko kwako we (Ah-ah-ah-ah)
We haushindwi (Ah-ah-ah)
Nakuamini (Nitangoja utende)
Auchelewi, wala auwahi (Ah-ah-ah-ah)
Ooh BWANA (Ah-ah-ah-ah)
Mimi nitangoja (Nitangoja utende)
Ooh-ooe
Chezaa Kompaaaa
Eeh, Kila jambo na wakati wake
Najua na mimi wakati wangu upo
YESU wangu hawezi niacha
Atasimama na mimi (Ouwo-uuu)
Japo nimesikia (Nimesikia)
Maneno nayonenewa (Maneno nayonenewa)
Yakunizuia kunikatisha tamaa
Nianguke
Mimi nitalishika, lile uliloniambia
Maana neno lako ni hakika
Utafanya aah
Sichoki kukungojea
Najua mawazo mema waniwazia
Siachi kuvumilia (Nitasubiri)
Nitasubiri ahadi zako kutimia
Mimi nakuamini (Ah-ah-ah-ah)
Nakuamini (Ah-ah-ah)
Hakuna gumu Kwako (Nitangoja utende)
Subira yangu, Nitaiweka kwako(Ah-ah-ah-ah)
Ooyeaa (Ah-ah-ah)
Nitasubiri majira yako (Nitangoja utende)
Chezaa Kompaaaa