Nifundishe
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Ouyeee, uuuh
Nimekukimbilia BWANA
Nisiaibike milele
Kwa haki yako uniponye
Unitegee sikio lako
Maneno ya kinywa changu
Mawazo ya moyo wangu, BWANA
Na matendo yangu
Yapate Kibali kwako
Unifundishe YESU
Zibadili fikra zangu BWANA
Yale nisoyajua nijurishe BWANA (Ooh BWANA)
see lyrics >>Similar Songs
More from Mathias Walichupa
Listen to Mathias Walichupa Nifundishe MP3 song. Nifundishe song from album Nifundishe is released in 2024. The duration of song is 00:04:32. The song is sung by Mathias Walichupa.
Related Tags: Nifundishe, Nifundishe song, Nifundishe MP3 song, Nifundishe MP3, download Nifundishe song, Nifundishe song, Nifundishe Nifundishe song, Nifundishe song by Mathias Walichupa, Nifundishe song download, download Nifundishe MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
HappieGie
MgangaRose
Amen
Rebecca Antony9f69d
Waooooo thanks God bless you
Amen