Mungu Wa Namna Hii
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mathias Walichupa - Mungu Wa Namna Hii
Mmhmmm, eeeh
Wanilinda usiku na mchana
Waniepusha na mitego ya mwovu
Dhamana ya maisha yangu
Imikononi mwako, mwako
Fadhili zako hazihesabiki
Na upendo wako hauna mipaka
Macho bado hayajaona, mwingine
Wakulinganishwa na wewe MUNGU
Mwenye upendo namna hii (ai-yeh-yeh)
Mwenye upendo namna hii (Mi sijamwona)
see lyrics >>Similar Songs
More from Mathias Walichupa
Listen to Mathias Walichupa Mungu Wa Namna Hii MP3 song. Mungu Wa Namna Hii song from album Mungu Wa Namna Hii is released in 2024. The duration of song is 00:03:31. The song is sung by Mathias Walichupa.
Related Tags: Mungu Wa Namna Hii, Mungu Wa Namna Hii song, Mungu Wa Namna Hii MP3 song, Mungu Wa Namna Hii MP3, download Mungu Wa Namna Hii song, Mungu Wa Namna Hii song, Mungu Wa Namna Hii Mungu Wa Namna Hii song, Mungu Wa Namna Hii song by Mathias Walichupa, Mungu Wa Namna Hii song download, download Mungu Wa Namna Hii MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Tiner Benson benny
hakika ni mungu mweza wa yote ♥️