Naziona Baraka
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Naziona Baraka - Mathias Walichupa
...
aaaaaah eeeehiiiiieeeh
Nimehesabu ni mwanzo wa safari yangu naona bado naendeleaa,
Siwezi hesabu vikwazo vya safari yangu,
hata kama mwendo nachechemea,aliyeinzisha safari yangu mimi,
ndiye atakaye imaliza hata kama ni madhaifu na mapungufu wayaonayo wanadamu ndiye atakaye yalekebisha,
ninayo imani kwake yesu,alikonitoa ni mbali siwezi kuelezea,,,ooooh
hata kama mafanikio ni bado nazo shida ni ndogo nitasubiri,ieeeh,,kwa sababu
Ninaziona Nazionaa Naziona baraka zangu
baraka zisizo na kikomo ninaziona ninaziona Baraka zangu
Naona kufanywa upya Maishani mwangu ninaziona baraka zangu iiieeeehh naziona naziona Ninaziona baraka zangu iiiieeeiiieeeh iiieh
see lyrics >>Similar Songs
More from Mathias Walichupa
Listen to Mathias Walichupa Naziona Baraka MP3 song. Naziona Baraka song from album Naziona Baraka is released in 2022. The duration of song is 00:04:58. The song is sung by Mathias Walichupa.
Related Tags: Naziona Baraka, Naziona Baraka song, Naziona Baraka MP3 song, Naziona Baraka MP3, download Naziona Baraka song, Naziona Baraka song, Naziona Baraka Naziona Baraka song, Naziona Baraka song by Mathias Walichupa, Naziona Baraka song download, download Naziona Baraka MP3 song
Comments (33)
New Comments(33)
Paulo Kitinya
Aman Ibrahimu5j6b
Uko saf
VERONIKA 1jyt2
God be praised on high[0x1f608][0x1f612][0x1f613][0x1f60e][0x1f603][0x1f60d]
nationy2hgz
ameen Mungu yuko pamoja nawe[0x1f60e]
Elisha ndahanea6v6i
mzm
brother G83
Mungu aendelee kukuinua Mathias, wewe shuka tu ili yeye azidi kutukuzwa ndani yako
Navo Rashidi
[0x1f636][0x1f636][0x1f636]
Erick Mbomu
ameen
semwendafjcv
naziona
mungu atakubarik San n akuinue zzaid kazi yyako jema San hakika nazion barak
Meshack Williamzww23
be bless
isakasanka
nyie vijana msije mkaacha kuimba badae mkishainuliwa
amen mungu yupo pamija na wewe daima