Ni Upendo
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni Upendo - Mathias Walichupa
...
Mmmh
Siri ya furaha yangu
Imo ndani ya pendo lako
Uthamani wa uo utu wangu
Umejengwa na pendo lako
Mmmh
Si rahisi kuyahesabu uuh
Maana ni mengi haya mapenzi yako
Na nikiyatafakari iiih
Naona nimependelewa nawe
see lyrics >>Similar Songs
More from Mathias Walichupa
Listen to Mathias Walichupa Ni Upendo MP3 song. Ni Upendo song from album Ni Upendo is released in 2023. The duration of song is 00:04:09. The song is sung by Mathias Walichupa.
Related Tags: Ni Upendo, Ni Upendo song, Ni Upendo MP3 song, Ni Upendo MP3, download Ni Upendo song, Ni Upendo song, Ni Upendo Ni Upendo song, Ni Upendo song by Mathias Walichupa, Ni Upendo song download, download Ni Upendo MP3 song
Comments (36)
New Comments(36)
chuddy boy
zubaida9whxy
hakika hiv nilivo ni upendo wake bwana
e shirima
lovely spiritual song, Mungu akuzidishie mema zaidi na zaidi
Selina Ritte
ubarikiwee zaidi na zaidi
gafu jr
good job
Marthaadvcq
,❤️❤️❤️
Esther10oun
Hakika kwa jinsi nilivo ni upendo wako Mungu ujumbe mzur sanaa Ubarikiwe sana sichoki kuusikilza huu wimbo
Esther10oun
Huu wimbo una nifariji sanaaa hongera mtumish kwa mjumbe mzur ubariwe sanaa
Ephraim 7k477
huu wimbo unanivusha sehemu ngumu sana. ubarikiwe mtumishi
100477649
Amen wimbo mtamu sana
Lidia Daudi
Nyimbo inabamba hatari hadi unapata ubarikio[0x1f641]
Editha4keap
yaani me nikusikiliza tu hata hazinichoshi nyimbo nzur zakumrudisha mtu karibu na mungu
for sure the song is so touching and based on reality it has inspired me a lot kumrudia Mungu baada ya kugundua haya yote ni sababu ya upendo wake thanks