Mungu Wa Namna Hii Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mathias Walichupa - Mungu Wa Namna Hii
Mmhmmm, eeeh
Wanilinda usiku na mchana
Waniepusha na mitego ya mwovu
Dhamana ya maisha yangu
Imikononi mwako, mwako
Fadhili zako hazihesabiki
Na upendo wako hauna mipaka
Macho bado hayajaona, mwingine
Wakulinganishwa na wewe MUNGU
Mwenye upendo namna hii (ai-yeh-yeh)
Mwenye upendo namna hii (Mi sijamwona)
MUNGU wa namna hii, wa namna hii (Ooh-oo)
Mimi sijamwona (mi sijamwona)
Sijamwona
Mwenye upendo namna hii (ah-oye-oye-oye)
Mwenye upendo namna hii (iih)
MUNGU wa namna hii (wa namna hii)
Wa namna hii (Ooh)
Mimi sijamwona (mi sijamwona)
Sijamwona (aiyeiyee)
Oooh, oooeeh
Mimi sijamwona
Yuko na mimi (Ouh-yeh-yeh)
Amenizingira (Ouh-yeh-yeh)
Pande zote, I'm highly protected
Sina mashaka, yuko ndani yangu
Huyu YESU, huyu YESU
Wewe ni njia, ya kweli na uzima
Glorious GOD and beautiful KING
Macho bado hayajaona, mwingine
Wakulinganishwa na wewe MUNGU
Mwenye upendo namna hii (Sijamwona, ai-yeh-yeh)
Mwenye upendo namna hii (Mi sijamwona)
MUNGU wa namna hii (hayupo)
Wa namna hii (Ooh-oo)
Mimi sijamwona (mi sijamwona)
Sijamwona (kama yeye)
Mwenye upendo namna hii (Sijamwona, ah)
Mwenye upendo namna hii (iih)
MUNGU wa namna hii (wa namna hii)
Wa namna hii (Ooh)
Mimi sijamwona (mi sijamwona)
Sijamwona
Instrumental playing