![Yesu Naja Kwako](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/3D/CA/rBEeMVlOpsKARjmAAACWSt8gl2s117.jpg)
Yesu Naja Kwako Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Yesu Naja Kwako - Upendo Nkone
...
nimefanya uchunguzi nimegundua yesu ni meamba, msaada wa karibu tena nguvu ya wenye haki. anaupendo na watu wake na baraka zote ziko kwake. Niende wapi, niyapate mema
(mimi sitaki) sitaki kwenda kwa mwingine(mwingine) yesu wangu mimi ninakuja kwako(kwako napata vyote mimi) sitaki kwenda kwa mwingine, yesu wangu, mimi ninakuja kwako. (unaniwazia mema)*2(sitaki)