Uniongoze Yesu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Uniongoze Yesu - Upendo Nkone
...
uniongoze bado nakuhitaji
uniongoze yesu kiongozi mwema
moyo wangu wakuhitaji niongoze nivuke salama
ulisema nnaposhidwa nikuite, hivi leo nakuita nisikie
usiende mbali nami usiniache pekee yangu
mungu wanyu uniongoze.
verse1.
Dunia hii ina mambo mengi sanaa,
sasa dhambi imetawala dunia,
walio koka wengine wanarudi nyuma,
mi napenda nikupendeze mungu upendezwe nami,
niyashike maagizo yako unifurahie neno yesu likae ndani yangu we baba
chorus
uniongoze bado nakuhitaji ( uniongoze baba)
uniongoze yesu kiongozi mwema( moyo wangu)
moyo wangu nakuhitaji( nakuhitaji)
niongoze nivuke salama, mungu wangu uniongoze (wewe ulisema)
ulisema nnaposhidwa( nnaposhindwa) nikuite (nikuite), hivi leo nakuita nisikie
usiende mbali nami usiniache pekee yangu
mungu wanyu uniongoze.
verse2
kuna wengine wachanganya mungu na dunia
na wengine wanalibadili neno lako
yesu ukisema na wao pia wanasema
mi nataka nikusikie yesu ukisema nami
maana wewe ndio wa thamani maishani mwangu
nguvu zako yesu zikae ndani yangu yoyoyo
chorus
uniongoze bado nakuhitaji
uniongoze yesu kiongozi mwema
moyo wangu wakuhitaji niongoze nivuke salama
ulisema nnaposhidwa nikuite, hivi leo nakuita nisikie
usiende mbali nami usiniache pekee yangu
mungu wanyu uniongoze.
verse3
ni kweli bwana nimekutana na vita vikali (vikali)
lakini yesu umepigana badala yangu
wewe umekuwa ni mwamba wa wokovu wangu
mbele yangu sijui kuna nini unipiganie
nisipokuwa nami sitaweza kitu unishindie
natamani sana nione uso wako jemedari wangu
chorus
uniongoze bado nakuhitaji
uniongoze yesu kiongozi mwema
moyo wangu wakuhitaji niongoze nivuke salama
ulisema nnaposhidwa nikuite, hivi leo nakuita nisikie
usiende mbali nami usiniache pekee yangu
mungu wanyu uniongoze.
eeh ulisema nnaposhidwa nikuite
hivi leo nakuita nisikie
usiende mbali nami usiniache pekee yangu
mungu wangu uniongoze
eeh ulisema nnaposhidwa nikuite
hivi leo nakuita nisikie
usiende mbali nami usiniache pekee yangu
mungu wangu uniongoze