![Niacheni](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/3D/CA/rBEeMVlOpsKARjmAAACWSt8gl2s117.jpg)
Niacheni Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Niacheni - Upendo Nkone
...
Niacheni niimbe niacheni nicheze yesu mwana wa mungu amejibu maombi yangu yoyoo...niacheni niimbe niacheni nicheze yesu mwana wa mungu amejibu maombi yanguuuu...amenipa uzima amenipa watoto yesu mwana wa mungu amejibu maombi yanguuuu yoyoyoo(ahaaaaa)
niacheni niimbe niacheni nicheze yesu mwana wa mungu amejibu maombi yanguuuu amenitoa chini, chini ameniweka juu,juu yesu mwana wa mungu amejibu maombi yanguuuu niachee,niacheni niimbe imbe niacheni nicheze niichezee yesu mwana wa mungu amejibu maombi yanguuuu kanitoa kwenye shida kabariki biashara zangu yesu muweza yote amejibu maombi yangu(eheee) niacheni niimbe niacheni nicheze yesu mwana wa mungu amejibu maombi yanguuuu natembea kwa ujasili(siri) sababu ninaye yesu simba wakabira la yuda anashughulika nami(babaa) niacheni niimbe niacheni nicheze (cheze)yesu mwana wa mungu amejibu maombi yanguuuu (eiyaah)....
Daktari alikupima akasema huwezi kuzaa
leo yesu mwana wa mungu amekupa watoto imba niacheni niimbe niacheni nicheze yesu mwana wa mungu amejibu maombi yanguuuu
Wamesema hauta olewa eti wewe una mkosi yesu ulie mtegemea amejibu maombi yako niacheni niimbe niacheni nicheze yesu mwana wa mungu amejibu maombi yanguuuu