![MBONA HAUNI JALI](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/20/fad0e2e2df3b465ba52c2d4aa9e5029d_464_464.jpg)
MBONA HAUNI JALI Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Ah ehhh!
Oh Prince D oh yea oh
Omutima guluma gwoyagala nga takufako
Gwoyagala enyo nga takufako
Omutima guluma nga takufako
Gwoyagala enyo nga takufako
Mbona hauni jali, kwa yote nakutendea
Mbona hauni jali, kwa penzi nimekupea
Mbona hauni jali, kwa yote nakutendea
Mbona hauni jali, kwa penzi nimekupea
Baby, mimi na wewe
Tulipendana, niki fikiri
Ya kwamba penzi letu nila kweli
Ila nashanga kuona kumbe wewe
Uli penda pesa na mali yangu
Haukuni peya, penzi lakweli
Uli penda tu mali yangu
Haukuni peya, penzi lakweli
Uli penda tu mali yangu
Naumia
Nga takufako
Gwoyagala enyo nga takufako
Omutima guluma gwoyagala nga takufako
Gwoyagala enyo nga takufako
Omutima guluma nga takufako
Gwoyagala enyo nga takufako
Omutima guluma gwoyagala nga takufako
Gwoyagala enyo nga takufako
Omutima guluma nga takufako
Gwemwat'ekyama nga takufako
Mbona hauni jali
Mbona hauni jali
Nilifanya nini
Ili unilipe hivi
Mbona hauni jali
Mbona hauni jali
Mbona wani umiza
Mbona wani umiza
Oh!
Hoo oh!
Penzi letu, mimi na wewe
Nili fikiri
Ya kwamba Mungu ame tubariki
Na penzi hili ili tudumu daima
Lakini ume nilipa malipo mabaya
Mbona ume ni umiza moyo
Nalia sana
Ume ni umiza moyo
Naumia sana
Nalia nalia nalia
Nalia nalia nalia
Hoooh!
Mbona ume ni umiza
Mbona haunge ni fanya hivi wewe
Ambaye nili pendana naye
Niki fahamu
Ya kwamba tutaishi pamoja
Mimi na wewe
Hayo matendo yote ulio ni onesha mwanzo
Yalikuwa ya nini mbona nalia
Yalikuwa ya nini je
Mbona nalia
Mbona ume ni umiza moyo sana sana
Hoooh!