ATULINDAE HASINZIYI ft. Neema Rita Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Yeeeh
Yesu kingo langu
Uh
Atulindae hasinzie
Hukesha ju yetu
Mlinziwetu yuko hai
Atuwazia mema
Nikitazama maishani mwangu
Shida zime kuwa milima mirefu
Maisha yame kuwa magumu
Nikitazama mbele niendapo
Mlima ni mrefu, kuume, kushoto
Shetani ame nizingira
Je niende wapi?
Atulindae hasinzie
Hukesha ju yetu
Mlinziwetu yuko hai
Atuwazia mema
Atulindae hasinzie
Hukesha ju yetu
Mlinziwetu yuko hai
Atuwazia mema
No no no no no
Halali Baba, eh
Yuko hai siku zote, eh eh
Halali kwaajili yangu eh
Yuko hai kila siku eh eh eh
Nashanga, oh nashanga
Nashanga kwa ulinzi mkuu
Kama nahu
Shetani anapo ni piga mishale
Akitamani kuni uwa
Baba yangu hu nyosha
Mkono wake ju yangu
Uh
Nashanga, oh nashanga
Nashanga kwa ulinzi ume weka
Ju yangu
Shetani anapo ni abisha
Akitamani kuni fezeresha
Baba yangu mwenye rehema nyingi
Hu ni pigana, ah ah ah
Atulindae hasinzie (no no no no no)
Hukesha ju yetu
Mlinziwetu yuko hai (yuko hai siku zote)
Atuwazia mema
Atulindae
Hasinzie (halali kwaajili yangu eh)
Hukesha ju yetu
Mlinziwetu
Yuko hai (yuko hai kila siku eh)
Atuwazia mema
Mlinzi wetu
Yuko hai, yuko hai Baba eh eh eh
Ah
Hulali Baba (no no no no)
Kwaajili yangu (oh oh)
Oh oh oh
No no (hulali Baba eh) no, oh oh
Oh oh oh
Oh oh oh oh
Atulindae hasinzie (oh oh)
Hukesha ju yetu
Mlinziwetu yuko hai
Atuwazia mema