
NIENDE WAPI Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Nime zungukwa
Na milima mirefu
Baba niende wapi eh
Mbona safari ime kuwa mrefu
Je, Baba yangu nita fika lini?
Nadhaifuka
Kabla sija fika
Naunyosha mkono
Baba nishike
Niongoze oh Mungu wangu, eh
Nisaidie ili nikafike
Baba nadhaifuka kabla sija ziona
Hizo baraka ume niahidi
Mwili wangu hakika ume dhaifuka
Ila bado naji tahidi
Nisaidie Baba (ah)
Naomba nguvu kwako(ah) oh
Ho, halleluya
Niende wapi, (oh) niende wapi
(Baba) niende wapi
Yesu wangu
Nita enda wapi (niende wapi)
Mateso yame
Kuwa (niende wapi) mengi sana
(Baba) niende wapi, eh
(Oh) nita enda wapi
Nikishindwa
Safari (niende wapi ) yangu, eh
Oh
(Oh, oh, eh)
Niende wapi, eh
(Wapi, wapi, eh)
(Wapi, eh eh eh eh eh yeah)
(Nita enda wapi, eh)
(Niende wapi, eh ah)
Nina linganishwa (ah)
Na ulimi kati ya meno (oh)
Maana majirani wangu (eh)
Wana tamani kunimiza (maliza)
Hawataki nika yione
Kesho (kesho)
Ambayo ume niandalia
Baba yangu, eh (oh)
Nakosa
Nikimbilie wapi (ah) Yaweh
Baba nita enda wapi
Oh Mungu wangu, eh
Niende wapi (niende wapi, eh)
Niende wapi (oh niende wapi)
(Mbona na shindwa) niende wapi
(Oh nita enda wapi, eh)
Niende wapi
Baba yangu
Nime shindwa leo
Niende wapi (nime shindwa leo)
Waadui wangu wana nizingira
Niende wapi (Baba nisaidie)
Hawatiki nika yione
Kesho, niende wapi
Wana tamani wanimalize mimi
Niende wapi
Oh (wana taka kuniua)
Oh, oh oh
Baba
Wana taka wa niuwe
Wa niuwe, wani malize
(Niende wapi) Baba nisaidie (Prince D)
Oh
Nisaidie, oh