LOVE YOUR NEIGHBOUR Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2021
Lyrics
Aaaaah, oh wowo
Mungu alituweka duniani, tumo Wapitaji, mimi na wewe
Kidonda niki pata, damu nirangi Moja mi na wewe, ndugu yangu
Sioni sababu gani wani cyukiya
Mimi mwenzako, no no no
Tunalia badala ya kusaidiyana, tuna Temeyana mate, ho, no no no no
Ninahisi baridi, ila hakuna aaaah Wakuni jali, oh duniani nzima
Mimi ni mwana damu Kama na Wewe, ndugu mwenzangu Kanisaidiye
Nikiwa naliya, kalete kitambaa Naunipanguze macyozi, wee
Ndiyo mwelekeo mzuri ndugu yangu Aaaah, ndiyo njia bora sote tuipitie
Ndiyo mwelekeo mzuri nduyangu Aaaah, ndiyo njia bora sote tuipitie
Ohh Ah ah, aaaah
Yeye, Owowo, aaaah lelele
This world is likened to a battle field
All that the people care for is to hide Their heads down
underneath the Rocks, ho wow oh
But never minding about someone Besides them aaaah
Never taking care for anyone besides Themselve
This is a problem, my dear brothers And sisters
Let's wake up and fight And destroy this vice
If you find me on the streets, don't Whisper
HE'S A THUG
No
I was born innocent, it's bad luck, I Didn't want this, too aaaah
No no, please help me, don't judge Me (Yeiye) come and dine with me
Vi må holde oss tett i kjærligheten
Være hjelpsomme
Til alle som Ønsker det, Haaaa
Wowowowoo
Hiiiii
Ah
Huniupendo wa kweli mama eh
Oh Mama eeh Bato bako lobela Bolingo mama mama hiii
Hu ndiyo upendo wa kweli, tulio Agizwa, na Mungu Baba
Hu ni upendo wa kweli
Hu ndiyo upendo wa kweli, tulio Agizwa, na Mungu Baba
Love your neighbour aah, Love your Neighbour as you love yourself
Elske naboen din som du elske deg Selv
Love your neighbour as you love Your self
Penda jirani yako unavyo jipenda Mwenyewe
Hu ndiyo upendo wa kweli, tulio Agizwa, na Mungu Baba
Hu ndiyo upendo wa kweli, tulio Agizwa, na Mungu Baba
Love your neighbour as you love Yourself
Elske naboen din som du elske deg Selv
Love your neighbour as you love Your self
Penda jirani yako unavyo jipenda Mwenyewe
Jipenda mwenye we oooh
Yeye yeye
Bab Baba, wowowo, yeye wowo Yeeeh, oh wowo
Yeeee yeh
Halleluja
Duniya hi nikilio tu, ukiwa na riziki Ndugu yangu
Fahamu yakwamba jirani yako Analiya, ah
Wengi wana nyamaza, ila vidonda Rohoni, yeehyeh
Ukiwa nariziki, muangalie jirani Yako, wee, ohhoh
Ukiwa nariziki, ka muangalie jirani Yako, afurahi pia
Hu ndiyo upendo wa kweli

Prince D