Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2021

Lyrics

Ume ngaa, na shangaa


Baby, Leo, mi na wewe, tume ingiya chapter mupya

Ona vile tabasamu yako ime ngara, haaah

Uso wako ndio naona

Nitikise toka usingizi, ikiwa tayari nime lala, niamuke, eeeeh

Baby, Leo, mi na wewe, tume ingiya chapter mupya

Ona vile tabasamu yako ime ngara, aaah

Uso wako ndio naona

Nitikise toka usingizi, ikiwa tayari nime lala, niamuke, eeeh


Asante tangu leo, kipenzi wa moyoni

Na jina langu yani Leo, nabadilisha

Nabadilisha hadi na mawazoni

Asante mpenzi wangu kwa hatuwa hii,

Nakomaa na nina tamani nikomae zaidi na wewe

Nakomaa na nina tamani nikomae zaidi na wewe


Ume ngaa, na shangaa, Ume ngaa, na shangaa

Ume ngaa, oh na shangaa lelele, Ume ngaa, na shangaa


Aha

Je, mwenzangu hi nindoto, nitikise nika amukee lele, aha

Jana, nime kuwa mtoto,  sasa leo nachukuwa hatuwa mpya

Sifa na shukrani namupa Mungu wetu, kutufikiza hapa, kwenye harusi yetu

Chozi hili una lo Ona oh my baby, ni chozi la furaha, lelele

Yani moyo wangu ume ja na furaha

Nikisema njo tusherekee, ni siku yetu, ah

Usihofu kipenzi yani hakuna, kitakacho tutenganisha, ah, no no no

Pete hi nime weka kidoleni mwako,

Ni halama ya upendo wetu, oh my bae

Unao mwanzo bila mwisho,

Basi tembea ukiringa, nika ku one oh my love

Unao mwanzo bila mwisho,

Basi tembea ukiringa, nika ku one oh my love


Asante kuniokowa toka moto waujana, ambao nime kuwa nda jana

Naomba tuishi pamoja milele, kwaumoja bila makelele yehiye

Naku penda zaidi nilivyo kupenda jana, tulipo kuwa vijana, pamoja jana

Asante Mungu kwa kunipa ubavu wangu Nina nguvu sasa, ndani mwangu eh

Asante Mungu kwa kunipa ubavu wangu Nina nguvu sasa, ndani mwangu eh


Ume ngaa, na shangaa, Ume ngaa, na shangaa

Ume ngaa, oh na shangaa lelele, Ume ngaa, na shangaa

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status