SINA MALI Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Yea
It's another Prince D production uh oh
Uh oh oh oh
Upendo kama na huu
Upendo wa umasikini
Tulipendana
Tusipo kuwa na kitu, yea
Maisha ya magumu ya tabu, eh eh eh
Nakupenda, nakupenda oh oh
Ijapo kuwa nimetoka kijijini
Na sina hayo maisha yenye kustarehe
Sina mali sina hela no no no
Ninacho ni upendo nita kupa yoyoyo
Ukilia nayo machozi nita panguza
Uki umia oh mpenzi wangu nita tunza
Sina mali no, nina lia yo
Kipenzi naku penda
Nisogeze yo, niwe kando yako
Nataka niwe wako oh oh
Oh oh nakupenda baby
Oh nakupenda baby
Oh nakupenda bébé (oh oh)
Oh oh nakupenda bébé
Oh oh nakupenda bébé (oh oh)
Nakupenda bébé
Oh
Nisogeze kando yako bébé
Nipe chance
Nikuoneshe maana ya mapenzi
Umaskini hu mpenzi wangu unaomwisho yoyo
Nipe chance
Nikuoneshe maana ya mapenzi
Upendo wa kweli ndiyo, ninao baby ah ah
Eh yo yo yo oh oh oh
Upendo basi je ni nani waku jenga?
Hakuna mwengine bali ni mimi na wewe
Upendo wetu je ni nani waku jenga?
Hakuna mwengine bali ni mimi na wewe
Kwenye tabu kwenye kilio baby
Nita simama hodari mimi na we
Sina mali no, nina lia yo
Kipenzi nakupenda
Nisogeze yo, niwe kando yako
Nataka niwe wako oh oh
Oh oh nakupenda baby, oh
Nakupenda baby
Nakupenda bébé
Oh nakupenda bébé
(Hata kama mambo )
Oh nakupenda bébé (ni mengi magumu sana)
Oh oh oh
Nakupenda bébé
Sina mali sina hela no no no
Ninacho ni upendo nita kupa yo
Ukilia nayo machozi nita panguza
Uki umia mpenzi wangu nita kutunza
Sina mali sina hela no no no
Ninacho ni upendo nita kupa yoyo
Ukilia nayo machozi nita panguza
Uki umia nita kutunza yoyoyo yo yo yo