![UME NI ENEZA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/20/6aebf5011950496783f2c27973941189_464_464.jpg)
UME NI ENEZA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Ye, aha
It's another Prince D Production yeh
Prince D, yea
Oh, oh oh
Umeni eneza,
Hooh, oh
Upofu katika ujana
Na kijana mchangamufu
Ndiye nime kuwa jana
Ninayo haja moja mpenzi wangu
Kaniokowe toka hu ujana
Jana nime kuwa kijana nikichaka
Bila mwelekeo ila natosheka sasa
Yani kipenzi wangu ume ni eneza, oh oh oh
Hooh! Oh oh oh
Umeni eneza, ah yeah eh
Nimekuwa kipande
Sasa ume ni eneza
Oh my baby ukiwa na nusu ya roho yangu
Tangu leo, tume kuwa mwili mmoja, ah
Nimekuwa kipande
Sasa ume ni eneza
Oh my baby ukiwa na nusu ya roho yangu
Tangu leo, tume kuwa mwili mmoja, ah ah ah
Ehhh!
Ume ni eneza ah
Eh eh
Baby ume ni eneza
Heeh, heh
Ume ni eneza
Oh oh
Eheh!
Nilikaa chini niki muomba Mola
Muumbaji wangu
Yani siku hii nimei tarajia tangu zamani, yea
Tangu kuzaliwa kwangu
Nikiwa na imani ya kwamba Mola atakusogeza oh
Karibu oh kipenzi wa roho yangu
Tuki tembea kando kando eh
Nikiwa pamoja nawe, heh
Heeh! Eheh
Tuki shikamana mkono kwa mkono
Sikuwa nahofu la, no no
Ila tumaini yangu daima
Ilikaa kwake Mungu baba
Sikuwa nahofu no no, eh ehhh
Eeeh!
Ume ni eneza
Oh oh, baby ume ni eneza
Oh oh, hooh ume ni eneza
Oh, oh ume ni eneza
Oh, oh hooh ume ni eneza
Heeh eh!
Eh!
Nimekuwa kipande
Sasa ume ni eneza
Oh my baby ukiwa na nusu ya roho yangu
Tangu leo, tume kuwa mwili mmoja Oh oh oh
Nimekuwa kipande
Sasa ume ni eneza
Oh my baby ukiwa na nusu ya roho yangu
Tangu leo, tume kuwa mwili mmoja oh oh
Nimekuwa kipande
Sasa ume ni eneza
Oh my baby ukiwa na nusu ya roho yangu
Tangu leo, tume kuwa mwili mmoja, Oh oh
Ehehe ume ni eneza
Eh eh, oh oh hooh
Baby ume ni eneza
Hoooh, oh oh oh(ume ni eneza)
Ume ni eneza (ume ni eneza)
Ume ni eneza (baby ume ni eneza)
Oh oh hooh
Baby ume ni eneza