
Sikuachi Tena Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Sikuachi Tena - Zabron Singers
...
Tunaishi Kwa nguvu za Mungu yee
ndio katueka hapa
Kila hatua tunapitia yee ndio mlinzi wetu
Asubuhi ifikapo hujua siku itaenda ivi
Je nitavuka salama mchana,jioni hata usiku
..................Kwa dakika sekunde hujua siku itaenda vipi,
kupata na kukosa ajua Mimi nitapata Nini?
Kulala kuamka ajua Mii nitaamka vipi
maisha yetu yote Mungu ndiye anazo Siri zetu
............ tunaishi Kwa nguvu za Mungu ndiye katueka hapoo!
Kila hatua tunapitia yee ndio mlinzee wetu
Asubuhi ifikapo hujua siku itaenda vipi
je nita vuka salama mchana ,jioni hata usiku
Kwa dakika sekunde hujua siku itaenda vipi kupata na nakukosa
ajua Mimi nitapata lini ,kulala kuamka ajua Mimi nitaamka vipi, maisha yetu yote Mungu ndiye anazo Siri zetu,.......
chorus
we ni Mungu wangu sikuachi Tena ah aah mimi kuwepo leo ni Rehema zako zaniwezeshaa
Sina haki Mimii kujisifu tena aaah kwani bila wewe hakika Mimi nisingekuwa hiviii*2
Mwanga wangu wa wanjia na nyota katika maisha yanguu ,
yeye ni Mungu wa Nuru ushindi hata vitu vyote vyake upatacho shukuru ni Mungu ndiye kakuweka hapoo usisahau kumtumikia Bado ungali haiii..
Kumbuka Kuna siku utadaiwa Kwa matendo Yako Liwe jema Kwa baya watu pia umewatenda vipii
Je wazitumiaje baraka ulizopewa na Munguu suruhisho pekee ni Mungu tumpe maisha yetuuu*2
CHURUS
We ni Mungu wanguu uh sikuachi Tena ah mi kuwepo leo ni Rehema zako zaniwezeshaa ah
Sina haki mimiii kujisifu tenaa aah kwani bila wew hakika mim nisingekuwa hiviii*2(hihi hiii hiiiiii*3hiviiiiii)