- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Vumilia - Msanii Music Group
...
vumilia roho yangu majaribu ni kama moto*2.siku za mwisho ni nyakati hizi wenye imani wamewekwa kando imani yao ijaribiwe bwana naomba unisaidie*2 vumilia roho yangu majaribu ni kama moto unao choma imani yangu bwana naomba unisaidie*2. natoka kwako shetani kwaheri ndani yangu niwe salama Yesu nifiche nisionekane bwana naomba unisaidie*2 vumilia roho yangu majaribu ni kama moto unaochoma imani yangu bwana naomba unisaidie*2 roho yangu usiogope penda bwana kwa roho na kweli jitakase mbali na dhambi bwana naomba unisaidie*2 vumilia roho yangu majaribu ni kama moto unaochoma imani yangu bwana naomba unisaidie*3bwana naomba unisaidie*3
Similar Songs
More from Msanii Music Group
Listen to Msanii Music Group Vumilia MP3 song. Vumilia song from album Vumilia is released in 2020. The duration of song is 00:06:06. The song is sung by Msanii Music Group.
Related Tags: Vumilia, Vumilia song, Vumilia MP3 song, Vumilia MP3, download Vumilia song, Vumilia song, Vumilia Vumilia song, Vumilia song by Msanii Music Group, Vumilia song download, download Vumilia MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Judith Mbonebzh1m
i love this song
Neillyn1306
Ameenn
Kelvin Godwinsguvw
ameeeen
John Njemug7fqf
itz the stupid app
l love the song so much