![Ako Na Mpango](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/31/6b8a0f77825b43a2805ad3f58df6a6ec_464_464.jpg)
Ako Na Mpango Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Ako Na Mpango - Wapendwa Muziki
...
anafisha ,fisha ,anaosha anaosha anasafisha anaosha
nimwona akinifanyia,ah nimwona akitendea,ah,Kweli munguamemifanyia ,ah,nimemwona akinitendea,ah ,kuna mara na hisi nilie Kwa Yale ametenda yeye huyu mungu nimemwona,kuna mungu WA rehema neema nakuwazia,jipe Moyo nitamwona
ako na mpango oooh(ana mipango nawe) ako na mipango ooh (+2) ako na mpango sawa sawa yeye ni mungu WA baraka ako na mpango yeye ni mungu mwaminifu ako na mipango wacha kufeel sorry about yourself ooh usisikize sauti za watu mungu ndio final ila kutangulia sio kufika pole pole ndio mwendo Imani yako ibaki Kwa mungu mwenye uwezo toka kitanda nishituka inakupasa kujituma baraka zitashuka (shuka )kwako wewe ye ni mungu WA rehema anatuwazia na ndio maana nasimama kwake sawa sawa wabaraka wabaraka Baba WA baraka nafadhili zake za milele WA baraka baba WA baraka ako na mipango ooh ana mipango na ww ako na mipango ooh yy no mungu WA baraka ako na mipango yy no mungu mwaminifu ako na mipango anasafisha fisha anaosha anaosha anasafisha na damu ako na mipango oooh ana mipango ana mipango ooh mipango yake Sawa SWA yy no mungu WA baraka ako na mipango yy no mungu mwanifu ako na mipango