
Inakuwashia Nini Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Inakuwashia Nini - Wapendwa Muziki
...
Nimepita mtaa flaniii....wakasema mama wambooo..
tumbo kubwa unanona zaidii...
Nimepita mtaa flani...wamenicheka saaanaa
wananiita toothpick....ati nimekonda zaidi
oooh nimepita mtaa flani.....kicheko na kicheko
am not a real man...ati juu sina misuli
INAKUWASHIA NINI,,,,INAKISUMBUA NINI
Maumbile yangu...inakusumbua nini ×2
Natembea kwa ujasiri×2
nina yesu moyoni....amenipa ujasiri
ninone nikonde...rangi ya thao nikose
nina yesu moyoni...amenipa ujasiri×2
ooooohh aaaaaahhhh×4